MSETO FC; MABINGWA WA KWANZA WA LIGI KUTOKA NJE YA DAR ES SALAAM
Wachezaji wa Mseto FC ya Morogoro wakisalimiana na mgeni rasmi Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kabla ya moja ya mechi zao mwaka 1974. Mseto ambayo sasa haipo tena, mwaka huo iliweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutoka nje ya Dar es Salaam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, wakati huo ikiitwa klabu bingwa ya taifa.
NSC reshuffles federations’ scribes
-
The National Sports Commission (NSC) has reshuffled General Secretaries
across several National Sports Federations, as part of an internal strategy
to st...
0 comments:
Post a Comment