• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 20, 2015

  MALINZI ALIPOKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA FIFA MJINI ADDIS

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (katikati) akiwa na wagombea Urais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Jerome Champagne (kulia) na Prince Ali Bin Al Hussein (kushoto) mjini Addis Ababa, Ethiopia leo ambako michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inaanza kesho

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALINZI ALIPOKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA FIFA MJINI ADDIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top