• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 21, 2015

  ARSENAL YADUNDWA 2-1 NA WEST BROM LIGI KUU ENGLAND

  Kipa wa Arsenal, Petr Cech (kulia) akizungumza na mchezaji mwenzake Mikel Arteta baada ya kujifunga kipindi cha kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawtorns dhidi ya wenyeji West Bromwich Albion. WBA imeshinda 2-1, bao lake lingine likifungwa na James Morrison, wakati la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YADUNDWA 2-1 NA WEST BROM LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top