• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 22, 2015

  WIKIENDI YA 'NNE NNE', SPURS NAYO YAIBUGIZA WEST HAM 4-1 ENGLAND

  Danny Rose wa Tottenham Hotspur akimtoka Diafra Sakho wa West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa White Hart Lane. Spurs imeshinda 4-1, mabao yake yakifungwa na Harry Kane mawili, Toby Alderweireld na Kyle Walker moja kila mmoja, huku la West Ham likifungwa na Manuel Lanzini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WIKIENDI YA 'NNE NNE', SPURS NAYO YAIBUGIZA WEST HAM 4-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top