• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 21, 2015

  'WINGA TELEZA' BRIAN MAJWEGA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC

  Winga Mganda, Brian Majwega akifanya mazoezi na Simba SC katika ufukwe wa Coco Beach, Dar es Salaam jana. Majwega ameomba kufanya mazoezi na Simba SC kujiweka fiti wakati huu yupo katika mgogoro na klabu yake, Azam FC, ingawa habari zinasema Wekundu hao wa Msimbazi wana mpango wa kumsajili
  Majwega akikimbia ufukweni kusaka pumzi ya kazi
  Majwega (katikati) na kushoto ni kocha Muingereza, Dylan Kerr
  Majwega akitembea kuelekea kuondoka baada ya kumaliza mazoezi

  Majwega (kulia) akizungumza na kocha Kerr baada ya mazoezi
  Majwega (kushoto) akizungumza na kocha Kerr wakati wa mapumziko

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'WINGA TELEZA' BRIAN MAJWEGA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top