• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 29, 2015

  BALE NA RONALDO WAFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA

  Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akiwania mpira wa juu dhidi ya Ander Capa wa Eibar katika mchezo wa La Liga usiku wa leo Uwanja wa Ipurua. Real imeshinda 2-0, mabao ya Bale dakika ya 43 na Cristiano Ronaldo dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE NA RONALDO WAFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top