• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2015

  IVO MAPUNDA ALIVYOANZA KAZI AZAM FC LEO, MAMBO YALIKUWA COCO BEACH

  Kipa mpya wa Azam FC, Ivo Mapunda (kulia) akiwa mazoezini na timu hiyo leo asubuhi katika ufukwe wa Coco, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba SC Desemba 12, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Ivo akiwa amedaka mpira mazoezini Coco Beach leo asubuhi
  Kocha Muingereza, Stewart John Hall (kulia) akiwaongoza wachezaji wake mazoezini leo asubuhi
  Kiungo Frank Domayo (mbele) akijifua kwa bidii leo asubuhi ufukwe wa Coco
  Beki David Mwantika akiruka vihunzi katika mazoezi hayo leo asubuhi 

  Kiungo Kipre Michael Balou akijifua na wenzake asubuhi ya leo ufukwe wa Coco
  Beki Said Mourad akifanya mazoezi kwa bidii kujiweka fiti kabla ya mechi na Simba SC
  Wachezaji wa Azam FC wakinywa maji baada ya kumaliza mazoezi yao asubuhi ya leo Coco Beach

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IVO MAPUNDA ALIVYOANZA KAZI AZAM FC LEO, MAMBO YALIKUWA COCO BEACH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top