• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2015

  MATUMLA ALIPOWEKA REKODI YA MTANZANIA WA KWANZA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA

  Bondia Rashid Matumla akiinua mkono kufurahia taji la ubingwa wa dunia wa WBU, baada ya kumshinda Paolo Pizzamiglio Juni 6, mwaka 1999 nchini Italia katika pambano la uzito wa Welter. Wakati huo, Matumla alikuwa chini ya kampuni ya DJB Promotions, iliyokuwa inamilikiwa na ndugu,  Dioniz na Jamal Malinzi. Jamal sasa ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Dioniz Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT)  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MATUMLA ALIPOWEKA REKODI YA MTANZANIA WA KWANZA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top