• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2015

  SUAREZ APIGA BONGE LA BAO, BARCA YAUA 4-0 LA LIGA, NEYMAR MAWILI, MESSI MOJA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiifungia bao la pili timu hiyo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camo Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Neymar mawili na Messi moja  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA BONGE LA BAO, BARCA YAUA 4-0 LA LIGA, NEYMAR MAWILI, MESSI MOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top