• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2015

  ENGLAND YAICHAPA 2-0 UFARANSA KIRAFIKI WEMBLEY

  Kiungo wa Ufaransa, Cabaye akimruka kipa wa England, Joe Hart katika mchezo wa kirafiki wa kiataifa usiku wa leo Uwanja wa Wembley. England imeshinda 2-0, mabao ya Dele Alli na Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ENGLAND YAICHAPA 2-0 UFARANSA KIRAFIKI WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top