• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 27, 2015

  EVENDER HOLYFIELD AKUTANA NA MABONDIA WA TANZANIA WATAKAOZIPIGA KESHO CHINA

  Bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa duniani uzito wa juu, Mmarekani Evander Holyfield (katikati) akisalimiana na bondia wa uzito wa juu, Mtanzania, Amour Amran Umbaya ‘Zungu’ (kushoto) na Shunkai Xia wa China wakati wa kupima uzito leo mjini Suzhou, China kuelekea pambano lao la kesho la uzito wa juu kuwania taji la WBO uzito wa Cruiser.
  Evander Holyfield (kulia) akisalimiana na bondia wa uzito wa juu, Mtanzania Alphonce Mchumiatumba (kushoto)  mjini Suzhou, China leo. Mchumiatumbo kesho anatarajiwa kuzipiga na Peter Graham kuwania ubingwa wa WBO Asia Pacific uzito wa juu na Holyfield atahudhuria pambano hilo. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EVENDER HOLYFIELD AKUTANA NA MABONDIA WA TANZANIA WATAKAOZIPIGA KESHO CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top