• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2015

  IBRAHIMOVIC AIPELEKA SWEDEN EURO 2016

  Nahodha wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akiifungia timu yake bao la pili kwa mpira wa adhabu katika sare ya 2-2 na wenyeji Denmark leo. Ibrahimovic amefunga mabao yote ya Sweden ambayo imeshinda kwa jumla ya 4-3 baada ya ushindi wa 2-1 awali hivyo kufuzu Euro 2016 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIPELEKA SWEDEN EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top