• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 21, 2015

  DIEGO COSTA AREJESHA AMANI CHELSEA, APIGA BAO PEKEE IKISHINDA 1-0

  Mshambuliaji Diego Costa (kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Willian baada ya kuifungia bao pekee Chelsea katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AREJESHA AMANI CHELSEA, APIGA BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top