• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 25, 2015

  SIMBA SC WANAVYOJIANDAA KWA AJILI YA AZAM FC MWEZI UJAO

  Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akikimbia katika mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kujiadaa na mchezo dhidi ya Azam FC Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Desemba 12, mwaka huu. 
  Brian Majwega kulia akikimbia huku kocha Dylan Kerr akimtazama
  Danny Lyanga akikimbia mbele ya wenzake jana Chuo Kikuu
  Peter Mwalyanzi akikimbia mbele ya wenzake katika mazoezi ya jana jioni
  Joseph Kimwaga akitimua mbio mbele ya Mwinyi Kazimoto jana UDSM

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WANAVYOJIANDAA KWA AJILI YA AZAM FC MWEZI UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top