• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 23, 2015

  YANGA SC KATIKA MAZOEZI ASUBUHI YA LEO UWANJA WA BOKO VETERANI

  Kiungo Mzimbabwe wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akimdhibiti beki Mtogo, Vincent Bossou katika mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Boko Veterani, njw kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
  Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma akimlamba chenga Vincent Bossou
  Beki Pato Ngonyani (kushoto) akipambana na vijana wa Yanga B, ambao wanaongeza idadi kwa sasa wachezaji wengi wa Yanga A wakiwa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mjini Addis Ababa, Ethiopia
  Vijana wa Yanga B wakionyesha uwezo wao Yanga A leo Uwanja wa Boko Veterani
  Beki Mkongo, Mbuyu Twite akiruka vihunzi mazoezini leo
  Kocha wa makipa, Juma Pondamali 'Mensah' akimpa maelekezo kipa Mudathir Khamis
  Mbele kijana wa Yanga B nyuma Godfrey Mwashiuya wakiruka vihunzi
  Donald Ngoma akiwa juu, mbele yake ni kipa Deo Munishi Dida
  Wachezaji wakinyoosha viungo mazoezini leo
  Pato Ngonyani amepeana mgongo na koch Juma Mwambusi wanakunywa maji

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC KATIKA MAZOEZI ASUBUHI YA LEO UWANJA WA BOKO VETERANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top