• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2015

  'WAZEE WA 7-0' KUREJEA NYUMBANI KESHO NA MAUMIVU YAO

  Kikosi cha timua ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichofungwa mabao 7-0 usiku wa leo na wenyeji Algeria mjini Blida katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. Taifa Stars inatarajiwa kuondoka mjini hapa kesho (Jumatano) asubuhi na itafika Dar es Salaam Alfajiri ya Alhamisi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'WAZEE WA 7-0' KUREJEA NYUMBANI KESHO NA MAUMIVU YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top