• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 29, 2015

  ARSENAL YAPATA SARE YA 1-1 CARROW ROAD NA NORWICH

  Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiwa amedaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Norwich,  Lewis Grabban katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Carrow Road.Timu hizo zimetoka 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Mesut Ozil dakika ya 30, huku la Norwich likifungwa na Grabban dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPATA SARE YA 1-1 CARROW ROAD NA NORWICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top