• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2015

  MANYIKA PETER ENZI ZAKE NA KIKOFIA CHAKE ALIKUWA 'BALAA'

  Kipa wa Yanga SC, Manyika Peter akiuzuia mpira mguu dhidi ya mshambuliaji wa Zamale,k Bussia Abdelhamid katika mchezo wa Kombe la Washindi Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Februari mwaka 2000. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANYIKA PETER ENZI ZAKE NA KIKOFIA CHAKE ALIKUWA 'BALAA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top