• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2015

  ROBO FAINALI NI STARS NA ETHIOPIA TENA, RWANDA NA KENYA, SUDAN KUSINI NA SUDAN, UGANDA NA MALAWI

  RATIBA ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME 2015
  Novemba 30, 2015 
  Uganda Vs Malawi
  Tanzania Bara Vs Ethiopia
  Desemba 1, 2015
  Sudan Kusini Vs Sudan
  Rwanda Vs Kenya
  Malawi itamenyana na mabingwa wa kihistoria wa Challenge, Uganda katika Robo Fainali ya kwanza Jumatatu
  MABINGWA watetezi, Kenya watamenyana na Rwanda katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge wakati Tanzania Bara itamenyana tena na Ethiopia.
  Mabingwa wa kihistoria Uganda watacheza na Malawi wakati Sudan Kusini itamenyana na Sudan.
  Robo Fainali za kwanza zitachezwa Jumatatu kati ya Uganda Vs Malawi na Tanzania Bara Vs Ethiopia, wakati Jumanne Sudan Kusini itamenyana na Sudan na Rwanda Vs Kenya.
  Mechi za makundi zimehitimishwa leo, Tanzania Bara ikitoka sare ya 1-1 na wenyeji na Ethiopia, wakati Uganfa imeshinda 1-0 dhidi ya Burundi. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROBO FAINALI NI STARS NA ETHIOPIA TENA, RWANDA NA KENYA, SUDAN KUSINI NA SUDAN, UGANDA NA MALAWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top