• HABARI MPYA

    Sunday, June 14, 2015

    MALINZI ALIVYOFUNGA MASHINDANO YA TAIFA YA U13 JANA KIRUMBA

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwakagua wachezaji wa timu ya Alliance Academy ya Mwanza kabla ya fainali ya mashindano ya taifa ya U13 jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Alliance ilifungwa mabao 3-2 na Ilala walioibuka mabingwa
    Malinzi akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Ilala walioibuka mabingwa pamoja na Maofisa wa TFF na viongozi wa Chama cha Soka Mwanza
    Mchezaji wa Mwanza (aliyebinuka tik tak) dhidi ya mchezaji wa Alliance
    Mchezaji wa Ilala (kushoto) akimtoka mchezaji wa Alliance
    Mchezaji wa Ilala akimlamba chenga mchezaji wa Alliance (kulia)
    Mchezaji wa Alliance akimtoka mchezaji wa Ilala
    Mchezaji wa Ilala kulia akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Alliance
    Kikosi cha Allianvce Academy jana
    Kikosi cha Ilala jana Kirumba
    Wadau wa soka Mwanza waliojitokeza kufuatilia mchezo wa jana Kirumba. Kulia ni mshambuliaji wa zamani wa Pamba, Ally Mrisho 'Shearer' kushoto ni kocha wa Toto Africans, John Tegete na nyuma ni mshambuliaji wa zamani wa Pamba na Simba SC, Kabole Kahungwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALINZI ALIVYOFUNGA MASHINDANO YA TAIFA YA U13 JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top