• HABARI MPYA

    Saturday, June 13, 2015

    CHUJI AWA MFUNGAJI BORA MICHUANO YA U13 TAIFA

    Kiungo wa Ilala, Morris Michael Njaku 'Chuji' akiinua mikono kufurahia baada ya kutajwa mfungaji bora wa mashindano ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 13 yaliyomalizika leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Chuji amefunga mabao tisa ndani ya wiki moja ya mashindano hayo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHUJI AWA MFUNGAJI BORA MICHUANO YA U13 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top