• HABARI MPYA

    Monday, November 17, 2014

    VAN PERSIE ATUPIA UHOLANZI IKIUA 5-0 ITUIZU EYRI METYANAR

    UHOLANZI imezinduka baada ya kuichapa mabao 5-0 Andora katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2016 usiku wa jana kwenye Uwanja wa KM.
    Kocha Guus Hiddink alitishia kujiuzulu iwapo Uholanzi ingefungwa na Latvia, lakini miamba ya Uholanzi ikapindua kibao.
    Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Robin van Persie dakika ya sita, Arjen Robben dakika ya 35 na 82, Klaas-Jan Huntelaar dakika ya 42 na Jeffrey Bruma dakika ya 77.
    Kikosi cha Uholanzi kilikuwa Vrij, Bruma, Willems, Afellay/Depay dk69, Blind/Clasie dk20, Sneijder, Robben, Huntelaar na Van Persie/Wijnaldum dk79.
    Latvia; Kolinko, Gabovs, Dubra, Gorkss , Kurakins, Ikaunieks/Laizans dk46, Zjuzins/Cauna dk54, Fertovs, Visnakovs, Sabala na Visnakovs/Rudnevs dk70.
    Katika mecbi nyingine zilizocheza usiku huu, Israel imefunga 3-0 Bosnia na Herzegovina mabao ya Gil Vermouth dakika ya 36, Omer Damari na dakika ya 45.
    Arjen Robben grabbed a double to ensure Holland ran out comfortable winners against Latvia
    Holland captain Robin van Persie opened the scoring in the sixth minute by leaping above Latvia's defence to nod home
    Nahodha wa uhollazi, Robin van aliiguai nap Persie opened the scoring in the sixth minute by leaping above Latvia's defence to nod home
    The Manchester United man beat Latvia's Vladislavs Gabovs to the ball to score past goalkeeper Aleksandrs Kolinko
    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2836867/Arjen-Robben-grabs-double-ensure-Guus-Hiddink-remains-boss-quit-threat.html#ixzz3JH82TIIS
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN PERSIE ATUPIA UHOLANZI IKIUA 5-0 ITUIZU EYRI METYANAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top