• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    UFARANSA CHUPUCHUPU KWA ALBANIA, YASOTA KUCHOMOA BAO KUPATA SARE YA 1-1

    France's Antoine Griezmann (C) celebrates after scoring the equaliser against Albania
    Nyota wa Ufaransa, Antoine Griezmann (katikati) akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 na Albania kwenye mchezo wa kirafiki jana
    Albania's Mergim Mavraj, left, heads the opening goal past France goalkeeper Hugo Lloris
    Mchezaji wa Albania, Mergim Mavraj, kushto akiwa amend hewani dhidi ya Paul Pogba kupiga kichwa kumtungua kipa wa Ufaransa, Hugo Lloris kuifungia timu yake bao la kuongoza

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2835254/France-1-1-Albania-Sub-Antoine-Griezmann-rescues-Euro-2016-hosts-friendly-Mergim-Mavraj-s-powerful-header.html#ixzz3J6EUuWo1 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UFARANSA CHUPUCHUPU KWA ALBANIA, YASOTA KUCHOMOA BAO KUPATA SARE YA 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top