• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    ACHANA NA CRISTIANO RONALDO KATIKA SUALA LA MABAO NA REKODI, UTAUMIZA KICHWA YAKO BURE, JAMAA ANATISHA

    MSHAMBULIAJI wa Ureno, Cristiano Ronaldo sasa ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi kwenye historia ya michuano ya Ulaya kufuatia bao lake la dakika ya 71 dhidi ya Armenia jana.
    Akiwa amefikisha mabao 23 kwenye mechi za kufuzu na Fainali pia za Euro, Nahodha huyo wa Ureno anampiku Jon Dahl Tomasson wa Denmark, ambaye amestaafu soka ya kimataifa mwaka 2010
    Cristiano Ronaldo's goal against Armenia made him the highest goalscorer in European Championship history
    Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake jana dhidi ya Armenia 
    Ronaldo's 23rd goal in European Championships qualifying and finals made his the highest goalscorer in the competition's history
    Bao la 23 la Ronaldo michuano ya Euro linalomfanya awe mchezaji aliyefunga zaidi kwenye michuano hiyo
    WAFUNGAJI BORA WA KIHISTORIA EURO 
    JinaNchiMabaoMechi
    Cristiano Ronaldo (2004-)Portugal2337
    Jon Dahl Tomasson (1998–2007)Denmark2231
    Hakan Sukur (1994-2007)Turkey2238
    Robbie Keane (1998–)Republic of Ireland2142
    Davor Suker (1991-99)Croatia2022

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ACHANA NA CRISTIANO RONALDO KATIKA SUALA LA MABAO NA REKODI, UTAUMIZA KICHWA YAKO BURE, JAMAA ANATISHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top