• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    THOMAS MULLER AFUNGA MAWILI UJERUMANI IKIUA 4-0 KUFUZU EURO 2016

    Muller doubles his country's lead as Gibraltar goalkeeper Jamie Robba scrambles futilely across goal
    Mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller akimfunga kipa wa Gibraltar, Jamie Robba, katika mechi ya Kundi D kufuzu Euro 2016 ambayo aliifungia timu yake hiyo mabao mawili katika ushindi wa 4-0. Mabao mengine yamefungwa na  Mario Gotze na moja wapinzani walijifunga. Ujerumani sasa inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi ya nne na kubaki nafasi ya pili, nyuma ya Poland yenye pointi 10. Scotland na Jamhuri ya Ireland nazo zina pointi saba kila moja katika kundi hilo, baada ya mechi nne, wakati Georgia ina pointi tatu na Gibraltar inashika mkia haina pointi. 
    The Germany forward wheels away after his second goal in their Euro 2016 qualifier against Gibraltar
    Mshambuliaji huyo wa Ujerumani akitoka kushangilia baada ya kufunga dhidi ya Gibraltar

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2835152/Germany-1-0-Gibraltar-Group-D-minnows-travel-World-Cup-holders-Euro-2016-qualifier.html#ixzz3J6CFJquh 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: THOMAS MULLER AFUNGA MAWILI UJERUMANI IKIUA 4-0 KUFUZU EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top