TALIB HILAL ALIVYO NA JUHUDI ZA KUJIENDELEZA KIELIMU KATIKA SOKA
Kocha wa zamani wa Simba SC, Talib Hilal akiwa Dubai ambako anahudhuria semina ya Wakufunzi wa soka ya ufukweni ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), inayotarajiwa kufungwa leo baada ya kuanza Novemba 4, mwaka hu. Semina hiyo hufanyika kila mwaka na Hilal ambaye enzi zake alichezea Simba SC pia, kwa sasa anaishi na kufanya kazi Oman. Hilal amekuwa mwepesi mno katika suala la kujiendeleza kielimu katika soka.
0 comments:
Post a Comment