• HABARI MPYA

    Thursday, November 13, 2014

    SIMBA SC WANAPOSAKA VIPAJI 'MCHANGANI', TULIY NA COLLINS MACHO KODO MBELE YA AYOUB NYENZI

    Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Collins Frisch na Said Tuliy kushoto wakiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi kulia Uwanja wa Karume wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara kati ya Friends Rangers ya Manzese, Dar es Salaam na Majimaji ya Songea, Ruvuma jioni ya leo. Rangers ilishinda 2-1.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WANAPOSAKA VIPAJI 'MCHANGANI', TULIY NA COLLINS MACHO KODO MBELE YA AYOUB NYENZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top