• HABARI MPYA

    Thursday, November 13, 2014

    'MUZIKI' WA FRIENDS RANGERS, NCHIMBI HAKUAMINI MACHO YAKE KARUME!

    Mmoja wa Wafadhili wa timu ya Majimaji ya Songea, John Nchimbi alikuwepo leo jukwaani Uwanja wa Karume kushuhudia timu yake ikichapwa mabao 2-1 na Friends Rangers ya Manzese katika mchezo wa Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'MUZIKI' WA FRIENDS RANGERS, NCHIMBI HAKUAMINI MACHO YAKE KARUME! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top