• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    SANCHEZ NA KUFUNGA KAMA SAMAKI NA MAJI, AFANYA YAKE TENA CHILE IKIITANDIKA 5-0 VENEZUELA

    Alexis Sanchez opened the scoring for Chile with his head during the 5-0 thrashing of Venezuela
    Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile katika ushindi wa 5-0 jana dhidi ya Venezuela. Mabao mengine ya Chile yamefungwa na mshambuliaji wa QPR, Eduardo Vargas, Rodrigo Millar na Pablo Hernandez.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ NA KUFUNGA KAMA SAMAKI NA MAJI, AFANYA YAKE TENA CHILE IKIITANDIKA 5-0 VENEZUELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top