• HABARI MPYA

    Saturday, November 01, 2014

    NEWCASTLE YAICHANJA LIVERPOOL 1-0, BALOTELLI ACHEZEWA 'KINDAVA'


    Daryl Janmaat wa Newcastle akimchezea rafu Mario Balotelli wa Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa St James Park. Newcastle imeshinda 1-0, bao pekee la Ayoze Perez dakika ya 73.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEWCASTLE YAICHANJA LIVERPOOL 1-0, BALOTELLI ACHEZEWA 'KINDAVA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top