• HABARI MPYA

        Thursday, November 13, 2014

        HAWA SI MAKOCHA, NI MASHABIKI TU, LAKINI SHUGHULI YAO WENYE MAJUKUMU YAO WANASUBIRI!

        Shabiki wa Majimaji ya Songea akiwahamasisha wachezaji wa timu yake katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Majimaji ilifungwa 2-1 na Friends Rangers ya Manzese, Dar es Salaam.
        Shabiki wa Friends Ranges akiwapa mbinu wachezaji wa timu yake, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania bara dhidi ya Majimaji ya Songea leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Rangers ilishinda 2-1.  

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HAWA SI MAKOCHA, NI MASHABIKI TU, LAKINI SHUGHULI YAO WENYE MAJUKUMU YAO WANASUBIRI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry