ITALIA imelazimishwa sare ya kufungana bao 1- 1 na Croatia katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2016, ambao ulilazimika kusimama kwa dakika 10 baada ya mashabiki kurusha vipeperushi vya moto Uwanja wa San Siro.
Wachezaji walitolewa nje dakika ya 75 baada ya mashabiki wa ugenini kutupia vipeperushi vya moto Uwanja wa San Siro, lakini hali ilitulia baada ya dakika 10 minutes na mchezo ukaendelea.
UEFA inatarajiwa kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo kabla ya kuchukua hatua. Antonio Candreva alitangulia kuifungia Italia dakika ya 11, kabla ya Ivan Perisic kusawazisha dakika nne baadaye. Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric alitolewa nje dakika ya 28 baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Mateo Kovacic.
Kikosi cha Italia kilikuwa; taly: Buffon, Ranocchia, Chiellini, Darmian, De Rossi, Candreva, Pasqual/Soriano dk28, De Sciglio, Marchisio, Zaza/Pelle dk63 na Immobile/El Shaarawy dk52.
Croatia: Subasic, Srna, Corluka, Vida, Pranjic, Modric/Kovacic dk28, Brozovic/Badelj dk83, Olic/Kramaric dk69, Rakitic, Perisic na Mandzukic.

PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2836967/Italy-1-1-Croatia-European-Championship-qualifier-suspended-10-minutes-second-half.html#ixzz3JIj7Vef5

Mattia De Sciglio wa Italia (kushoto) akiruka juu kugombea mpira na Darijo Srna wa Croatia jana
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2836967/Italy-1-1-Croatia-European-Championship-qualifier-suspended-10-minutes-second-half.html#ixzz3JIj7Vef5

.png)
0 comments:
Post a Comment