• HABARI MPYA

    Tuesday, November 18, 2014

    MAYWEATHER 'AWAVUA' NGUO MADEMU 10 WAMKATIE NYUMBANI KWAKE

    BAADA ya mfululizo wa matukio ya kuposti noti za dola za Kimarekani, bondia ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd Mayweather sasa amekuja na mpya.
    Leo babe huyo mwenye umri wa miaka 37, ameposti video na 'mad emu' 10 waliovalia 'ichi ichi  wakimkatia mauno nyumbami kwake.
    Bingwa huyo wa mataji ya dunia ya WBC na WBA uzito wa Welter,  ameposti video hiyo akiambatanisha na ujumbe usemao: "Kama MUNGU ameumba kitu kingpin kizuri zaidi ya mwanamke, sikihitaji,#mrmylifeisthes*** #tmt #tmg".
    Floyd Mayweather (centre, back to camera) watches 10 women dance as he lies on a massage table
    Bondia Floyd Mayweather (nyuma katikati ameipa mgongo kamera) akiwatazama wanawake 10 wakicheza dans nyumbani kwake
    The women, all of whom are not wearing very much, dance for Mayweather in the 15-second clip
    Wanawake hao waliokuwa wamevalia 'ichi uchi', wamechukuliwa kwenye video ya sekunde 15 na Mayweather ambaye ameiposti kwenye Instagram
    One of the girls turns around and gives Mayweather a smile as she dances with nine other others
    Binti mmoja amegeuka kujichekesha kwa Mayweather wakati akidansi na wenzake tisa
    Mayweather bounces along to rap music during the video, which he posted to his Instagram account
    Mayweather naye amerap katika video hiyo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER 'AWAVUA' NGUO MADEMU 10 WAMKATIE NYUMBANI KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top