• HABARI MPYA

    Saturday, November 08, 2014

    MAN UNITED YASHINDA 1-0 ENGLAND, MAMBO YA MATA HAYO!

    Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 67 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace usiku wa leo Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2826405/Manchester-United-1-0-Crystal-Palace-Juan-Mata-plays-role-super-sub-Louis-van-Gaal-s-team-earn-vital-three-points.html#ixzz3IVOWZ5R6 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YASHINDA 1-0 ENGLAND, MAMBO YA MATA HAYO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top