• HABARI MPYA

    Sunday, November 02, 2014

    HIVI NDIVYO MAMA YAKE HANS POPPE ALIVYOHIFADHIWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC wa pili kulia, akiwa na ndugu zake mbele ya kaburi la mama yao, Anna Mercati Poppe baada ya kuzikwa jioni ya leo katika makaburi ya Makanyagio, Iringa. Marehemu aliyemfuata mumewe aliyefariki Agosti 24, mwaka 1971, ameacha watoto watano kati ya wanane aliobahatika kuzaa, watatu wamekwishafariki pia. Ameacha pia wajukuu 33 na vitukuu 13.
    Poppe akimwaga mchanga katika kaburi la mama yake
    Mapadre wa kanisa la Bikira Maria Consolata, liliopo eneo la Mshindo, Iringa wakiongoza ibada ya kuuombea mwili wa marehemu katika kanisa hilo leo 
    Majjid Mjengwa kulia na rafiki yake, Fesal wa Asas Milk walikuwepo kwenye mazishi
    Jeneza likiwasili makaburini
    Watoto, wajukuu na vitukuu vya marehemu pamoja na ndugu na jamaa katika pcha ya pamoja mbele ya kaburi
    Mwakilishi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi akiuuaga mwili wa marehemu nyumbani kwake leo, eneo la Mkimbizi, Iringa leo
    Mtoto pekee wa kike wa marehemu, Sofie akiuweka sawa mwili wa marehemu mama yake kabla ya watu kuanza kuuaga leo nyumbani kwao 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO MAMA YAKE HANS POPPE ALIVYOHIFADHIWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top