• HABARI MPYA

    Saturday, November 15, 2014

    COLOMBIA YAILAZA 2-1 MAREKANI MCHEZO WA 'KISHIKAJI' CRAVEN COTTAGE

    Colombia's Teofilo Gutierrez (back) heads a late winning goal for his country after rising to meet a cross from Edwin Cardona
    Mchezaji wa Colombia, Teofilo Gutierrez (nyuma) akipiga kichwa kuifungia timu yake bao la ushindi Uwanja wa Craven Cottage jana katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Marekani kwenye mchezo wa kirafiki. Jozy Altidore aliifungia Marekani bao la kuongoza kwa penalti dakika ya 10 kabla ya Carlos Bacca kuisawazishia Colombia kipindi cha pili.
    Real Madrid and Colombia star James Rodriguez (right) plays a pass during the first half at Craven Cottage
    Nyota wa Real Madrid na Colombia, James Rodriguez (kulia) akicheza mechi hiyo Uwanja wa Craven Cottage kipindi cha kwanza

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2835198/Colombia-2-1-USA-Teofilo-Gutierrez-scores-later-winner-Craven-Cottage.html#ixzz3J6JqurOf 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COLOMBIA YAILAZA 2-1 MAREKANI MCHEZO WA 'KISHIKAJI' CRAVEN COTTAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top