• HABARI MPYA

    Friday, August 08, 2014

    XAVI AMGARAGAZA MESSI UCHAGUZI WA NAHODHA MPYA BARCELONA

    KIUNGO Xavi ameteuliwa kuwa Nahodha mpya wa Barcelona kuanzia msimu ujao.
    Beji ya Unahodha wa Barca imeachwa wazi na beki Carles Puyol aliyetungika daluga zake mwishoni mwa msimu na kura zikapigwa kumpata mrithi wake.
    Nyota huyo wa Hispania, alishinda jura zilizopigwa na kutangazwa rasmi jana kuwa Nahodha Mkuu, akifuatiwa na Andres Iniesta, Lionel Messi na Sergio Busquets, ambao watakuwa Manahodha Wasaidizi.
    Ongoza kwa mfano: Manahodha wa Barcelona kutoka kushoto Sergio Busquets, Lionel Messi, Xavi na Andres Iniesta
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: XAVI AMGARAGAZA MESSI UCHAGUZI WA NAHODHA MPYA BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top