![]() |
| Kiungo wa KCC ya Uganda, Stephen Bengo akimtoka beki wa Telecom ya Djibouti katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Kagame leo Uwanja wa Amahoro mjini Kigali, Rwanda. Teleco ilishinda 2-1. |
![]() |
| Kiungo huyo wa zamani wa Yanga SC aliingia kipindi cha pili na kucheza soka maridadi |
![]() |
| Hata hivyo, Bengo alishindwa kuinsuru KCC na kipigo cha Wadjibouti leo |
![]() |
| Alitawala sehemu ya kiungo baada ya kuingia, lakini nafasi alizotengeneza hazikutumiwa vizuri na washambuliaji wa timu yake |
![]() |
| Mshambuliaji wa KCC, Brian Umony akiwa haamini macho yake baada ya kufungwa na timu dhaifu |
![]() |
| Umony alichezea Azam FC misimu miwili iliyopita |








.png)
0 comments:
Post a Comment