• HABARI MPYA

    Monday, August 11, 2014

    AZAM FC NA KMKM KATIKA PICHA LEO KIGALI KOMBE LA KAGAME

    Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akimtoka beki wa KMKM katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Kagame jioni ya leo Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda. Azam ilishinda 4-0.
    Beki wa KMKM akimvuta beki wa Azam, Shomary Kapombe kumpunguza kasi
    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwafunga btela mabeki wa KMKM
    Beki wa KMKM, akimpunguza kasi mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche
    Kipre Tchetche alikuwa mwiba kwa mabeki wa KMKM leo
    Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akigombea mpira wa juu dhidi ya wachezaji wa KMKM
    Mshambuliaji wa Azam FC, Leomel Saint-Preux akiwachambua mabeki wa KMKM
    Leonel Saint-Preux akimtoka beki wa KMKM
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA KMKM KATIKA PICHA LEO KIGALI KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top