• HABARI MPYA

    Saturday, August 09, 2014

    KIGOGO WA USAJILI SIMBA SC AFANYA MAZUNGUMZO NA STRAIKA WA ZESCO

    Njoo ucheze Simba; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Said Tuliy, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo kulia akizungumza na mshambuliaji wa ZESCO ya Zambia, Mtanzania Juma Luizio jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. ZESCO ilifanya mazoezi jana hapo kujiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji wao, Simba SC leo kwenye Simba Day.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIGOGO WA USAJILI SIMBA SC AFANYA MAZUNGUMZO NA STRAIKA WA ZESCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top