• HABARI MPYA

    Saturday, August 09, 2014

    DANNY MRWANDA ANA GARI AMBALO MCHEZAJI YEYOTE BONGO HANA, WANATUMIA VIGOGO NCHI HII

    Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Danny Mrwanda akiwa ameegemea gari lake aina ya BMW X3 lenye thamani ya dola za Kimarekani 85,000 zaidi ya Sh. Milioni 130 za Tanzania. Mrwanda kwa sasa anacheza soka ya kulipwa Vietnam na yuko nchini kwa mapumziko kabla ya kurejea kazini Januari na amepanga kuichezea Polisi ya Morogoro katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANNY MRWANDA ANA GARI AMBALO MCHEZAJI YEYOTE BONGO HANA, WANATUMIA VIGOGO NCHI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top