• HABARI MPYA

    Thursday, August 14, 2014

    HAFLA YA PHIRI KUSAINI MKATABA SIMBA SC LEO

    Tunataka mataji; Rais wa Simba SC, akibadilishana mikataba na kocha mpya wa klabu hiyo, Patrick Phiri baada ya kusaini katika hoteli ya Regency, Mikocheni, Dar es Salaam asubuhi ya leo. Phiri amesaini Mkataba wa mwaka mmoja. Chini Phiri anasaini Mkataba huo na Aveva.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAFLA YA PHIRI KUSAINI MKATABA SIMBA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top