// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIEGO COSTA AANZA MAMBO CHELSEA...APIGA ZOTE MBILI THE BLUES IKIICHAPA REAL 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIEGO COSTA AANZA MAMBO CHELSEA...APIGA ZOTE MBILI THE BLUES IKIICHAPA REAL 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, August 13, 2014

    DIEGO COSTA AANZA MAMBO CHELSEA...APIGA ZOTE MBILI THE BLUES IKIICHAPA REAL 2-0

    MABAO ya mawili ya mapema kipindi cha kwanza ya Diego Costa yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Sociedad ya Hispania katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu.
    Akicheza kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge tangu aiongoze timu yake ya zamani, Atletico Madrid kuifunga timu ya Jose Mourinho katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Costa alihitaji dakika nane tu kuiteketeza Real Sociedad.
    Alifunga dakika ya kwanza na saba na sasa anafikisha jumla ya mabao manne aliyoifungia Chelsea tangu ajiunge nato akitokea Atletico mwezi uliopita.
    Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic/Zouma dk82, Cahill/Azpilicueta dk45, Terry/Christiansen dk86, Ake/Luis dk45,Ramires/Oscar dk45, Matic/Van Ginkel dk82, Fabregas/Mikel dk71, Schurrle/Willian dk45, Costa/Torres dk60 na Hazard/Salah dk82. 
    Real Sociedad: Zubikarai, Zaldua/C. Martínez dk59, Ansotegi/Mikel dk11, Inigo Martinez, De la Bella/Yuri dk72, Markel/Elustondo dk59, R.Pardo/A.Oyarzun dk72, Granero/Chory dk65, X.Prieto/Hervías dk72, Canales/Hernandez dk72 na Agirretxe/Estrada dk65.

    Onyo mapema: Diego Costa akisherehekea baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza Uwanja wa Stamford Bridge
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIEGO COSTA AANZA MAMBO CHELSEA...APIGA ZOTE MBILI THE BLUES IKIICHAPA REAL 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top