• HABARI MPYA

    Thursday, August 14, 2014

    BEKI LA LIVERPOOL LAHAMIA CRYSTAL PALACE

    KLABU ya Crystal Palace imetangaza kumsamili beki wa Liverpool, Martin Kelly kwa Mkataba wa miaka mitatu.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, aliwachezea kwa mara ya kwanza Wekundu hao mwaka 2009, lakini tangu akakosa nafasi kikosini, huku maumibu ya goti yakichangia kumuweka nje kwa mwaka.
    Kelly na wawakilishi wake walifanya mazungumzo na viongozi wa Palace Jumatatu kabla ya kumaliza dili mazodzini Jumanne.
    Kimeeleweka: Martin Kelly akiwa ameshika jezi ya Crystal Palace baada ya kukamilisha uhamisho wake kutua Selhurst Park
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BEKI LA LIVERPOOL LAHAMIA CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top