• HABARI MPYA

    Wednesday, July 16, 2014

    SANTOS ALIVYOANZA KAZI YANGA SC LEO, MAXIMO AMPA DARASA TOSHA

    Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC, Marcio Maximo akizungumza na kiungo aliyekuja majaribio katika klabu hiyo, Mbrazil mwenzake, mshambuliaji Geilson Santos Santana 'Jaja' asubuhi ya leo kabla ya kuanza kwa mazoezi Uwanja wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam. Jaja aliwasili jana mchana akitokea Brazil.
    Jaja kulia akifanya mazoezi ya viungo na wenzake leo
    Jaja akinyoosha viungo leo 
    Wachezaji wa Yanga wakikimbia taratibu 
    Jaja akizungumza na Mbraziul mwenzake, kiungo Andrey Coutinho kulia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANTOS ALIVYOANZA KAZI YANGA SC LEO, MAXIMO AMPA DARASA TOSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top