• HABARI MPYA

    Saturday, January 11, 2014

    SIMBA SC ILIVYODHIHIRISHA NI TIMU BORA TANZANIA

    Hingera rasta; Wachezaji wa Simba wakimpongeza mwenzao, Amri Kiemba kushoto baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya URA ya Uganda katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
    Simba rahaa
    Amri Kiemba akipambana na mabeki wa URA
    Ramadhani Singano ''Messi' akifanya yake dhidi ya beki wa URA
    Messi ni balaa
    Beki wa Simba, Haruna Shamte akimdhibiti mshambuliaji wa URA
    Beki wa URA akimdhibiti msambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe
    Mfungaji wao bao la kwanza la Simba SC, Joseph Owino akiondoka na mpira
    Awadh Juma wa Simba SC akipasua katikati ya wachezaji wa URA
    Kiungo wa URA Milos Ilic akimtoka mchezaji wa Simba SC, Haroun Chanongo
    Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba akigombea mpira na mchezaji wa URA
    Katikati ni Amri Kiemba akiwa amesujudu baada ya kufunga bao la pili
    Shabiki maarufu wa Simba SC, Abdulfatah Salim Saleh, mmiliki wa hoteli a Sapphire Court mjini Dar es Salaam kulia alikuwepo
    Kikosi cha Simba SC leo
    Makocha wa Simba SC kulia na wakisalimiana na makocha wa URA kabla ya mechi, Simba SC itamenyana na KCC ya Uganda pia katika fainali keshokutwa baada ya timu zote za Tanzania zilizoshiriki mashindano hayo kutolewa. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYODHIHIRISHA NI TIMU BORA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top