• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2014

    MWENYEKITI YANGA SC ALIVYOSIMAMA 'KIZIMBANI' JANA ZANZIBAR KUJIBU TUHUMA ZA KUJITOA KOMBE LA MAPINDUZI

    Kama kizimbani; Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Clement Andrew  Sanga  akiomba radhi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Kamati ya Mashindano ya Mapinduzi Cup jana kwa kutoshiriki kwa timu yake katika mashindano hayo kulikosababishwa na matatizo yaliyoshindwa kuepukika.
    Hamna lolote, mmewakimbia Simba tu nyie; Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Clement Andrew  Sanga  akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni Kumi uliotolewa na Klabu ya Yanga kusaidia mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWENYEKITI YANGA SC ALIVYOSIMAMA 'KIZIMBANI' JANA ZANZIBAR KUJIBU TUHUMA ZA KUJITOA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top