• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2014

    HUMUD AMTIA 'ROBA' MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA SC

    Wachezaji wa SimbabSC, Abdulhalim Humud 'Gaucho' kulia akiwa amemtia kabali katika kutaniana, mshamuliaji Ali Badru jana kipindi cha kwanza wakati wa mchezo dhidi ya Chuoni ya Unguja, Robo Fainali Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba ilishinda 2-0.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUMUD AMTIA 'ROBA' MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top