// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA YAUA 4-1 ENGLAND, ETO'O AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO DARAJANI, MAN UNITED YASHIKWA NA TIMU YA WANYAMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA YAUA 4-1 ENGLAND, ETO'O AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO DARAJANI, MAN UNITED YASHIKWA NA TIMU YA WANYAMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 19, 2013

    CHELSEA YAUA 4-1 ENGLAND, ETO'O AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO DARAJANI, MAN UNITED YASHIKWA NA TIMU YA WANYAMA

    MSHAMBULIAJI Samuel Eto'o amefungua akaunti yake mabao ya mabao Chelsea, kikosi cha Jose Mourinho kikishinda 4-1 dhidi ya Cardiff na kupanda di nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England.
    Chelsea ilitoka nyuma kwa 1-0 na kupata ushindi huo, baada ya makosa ya beki David Luiz kumpa Jordon Mutch nafasi ya kumfunga Petr Cech, ambayleo amecheza mechi yake ya 300 Ligi Kuu.
    Bao la kusawazisha la Chelsea lilitokana na maamuzi ya kimakosa ya refa Anthony Taylorambalo lilifungwa na Edin Hazard dakika ya 34 ambaye alifunga tena dakika ya 82. Mabao mengine ya The Blues iliyempoteza kocha wake Mourinho aliyepandishwa jukwaani yalifungwa na Eto’o dakika ya 66 na Oscar dakika ya 78.
    Kikosi cha Chlesea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Terry, Luiz, Bertrand/Torres dk64, Ramires, Lampard, Mata/Oscar dk59, WiIlian, Hazard na Eto’o/Azpilicueta dk69.
    Cardiff: Marshall, Theophile-Catherine, Caulker, Turner, Taylor, Cowie, Gunnarsson/Gestede dk81, Medel/Kim dk56, Whittingham, Mutch, Odemwingie/Campbell dk68.
    La kusawazishal: Eden Hazard amefunga bao la kusawazisha, lakini halikustahili kuwa bao? Chini Eto'o akishangilia bao lake la kwanza kufunga tangu ajiunge na Chelsea msimu huu
    Level: Eden Hazard netted the equaliser for the hosts
    Drama: There was also a chance for Jose Mourinho to get himself sent off
    Maajabu: Jose Mourinho alipandishwa jukwaani
    Katika mchezo mwingine mabingwa watetezi, Manchester United wamelazimishwa sare ya 1-1 Southampton baada ya kuongoza hadi dakika ya 89 Dejan Lovren alipowapokonya tonge mdomoni Uwanja wa Old Trafford.
    Kikosi cha David Moyes kilipata bao la kuongoza dakika ya 26 mfungaji Robin van Persie.Kikosi cha Manchester United: De Gea, Rafael, Jones, Evans, Evra, Carrick, Fellaini/Welbeck dk76, Nani/Giggs dk69, Rooney/Smalling dk87, Januzaj na van Persie. 
    Southampton: Boruc, Clyne, Fonte, Lovren, Shaw, Schneiderlin, Wanyama/Do Prado k83, Lallana, Steven Davis/Ward-Prowse dk67, Rodriguez/Lambert dk56, Osvaldo. 
    Delight: Van Persie jumps into the arms of Michael Carrick in celebration at giving United the lead
    Wa,eshindwa kulinda ushindi: Van Persie akishangilia bao lake kwa kumrukia Michael CarrickDelight: Dejan Lovren's 89th minute equaliser earned Southampton a valuable point at Old Trafford
    Wakachomoa: Dejan Lovren alisawazisha dakika ya 89
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAUA 4-1 ENGLAND, ETO'O AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO DARAJANI, MAN UNITED YASHIKWA NA TIMU YA WANYAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top