• HABARI MPYA

  Tuesday, October 22, 2013

  MAN CITY WATUA URUSI BILA NAHODHA KOMPANY NA JACK RODWELL KWA KIPUTE CHA LIGI YA MABINGWA KUNDI LA BAYERN

  KLABU ya Manchester City itamkosa Nahodha wake Vincent Kompany katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya CSKA Moscow kesho.
  Kikosi cha Manuel Pellegrini kitamenyana na jkabu ya Urusi wiki hii, kikitarajia kuzinduka baada ya kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Bayern Munich katika mchezo uliopita.
  Lakini Kompany, sambamba na Martin Demichellis na Jack Rodwell, hawajasafiri na timu.

  Pack your bags: Manchester City boss Manuel Pellegrini prepares, suit in hand, to head to Moscow with his team
  Pack your bags: Manchester City boss Manuel Pellegrini prepares, suit in hand, to head to Moscow with his team
  Star: Man of the moment Sergio Aguero
  Star: Man of the moment Sergio Aguero
  Beki mshirika wa kudumu Kompany pale katikati Matija Nastasic alianza pamoja na Javi Garcia, ambaye kwa kawaida hucheza kama kiungo mkabaji.Kompany alirejea uwanjani wiki za karibuni baada ya kukosa mechi kibao za mwanzo wa msimu, lakini akaumia tena na kukosa mechi ya Jumamosi timu hiyo ikishinda dhidi ya West Ham.
  City iliifunga Everton 3-1 kabla ya mapumziko ya mechi za kimataifa, na Pellegrini akabadilisha akabdilisha mabeki wake wanne katika ushindi wa Jumosi Upton Park, kwa Joleon Lescott, Kompany, Pablo Zabaleta na Aleksandar Kolarov wakichukua nafasi za Nastasic, Garcia, Micah Richards na Gael Clichy.
  Same gear: Yaya Toure, Samir Nasri (left) and Joe Hart get ready to take on CSKA Moscow
  Same gear: Yaya Toure, Samir Nasri (left) and Joe Hart get ready to take on CSKA Moscow
  Same gear: Yaya Toure, Samir Nasri (left) and Joe Hart get ready to take on CSKA Moscow
  Changed rules: Stevan Jovetic is allowed his headphones under the new regime
  Changed rules: Stevan Jovetic is allowed his headphones under the new regime
  To Russia with love: Alvaro Negredo relaxes on the plane before take-off
  To Russia with love: Alvaro Negredo relaxes on the plane before take-off
  Pamoja na hayo, City iliruhusu nyavu zake kutikiswa mwishoni mwa wiki, Garcia - ambaye alichezeshwa nafasi isiyo yake, alionekana kucheza kwa uelewano mkubwa na Nastasic. 
  Sergio Aguero, aliyefunga mabao mawili katika ushindi wa West Ham, alikuwa vizuri, sambamba na Joe Hart na Yaya Toure.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WATUA URUSI BILA NAHODHA KOMPANY NA JACK RODWELL KWA KIPUTE CHA LIGI YA MABINGWA KUNDI LA BAYERN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top